Wachezaji waliotimka Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jul 2018
Wachezaji waliotimka Yanga
Dirisha la usajili limefungwa usiku wa kuamkia leo Yanga ikifanikiwa kusajili wachezaji saba.

Wachezaji waliosajiliwa na Yanga ni Mrisho Ngasa, Deus Kaseke, Feisal Salum, Jaffar Mohammed, Mohammed Issa 'Banka', Heritier Makambo na Klaus Kindoki.

Baadhi ya wachezaji wametolewa kwa mkopo huku wengine wakiondoka baada ya mikataba yao kumalizika.

Obrey Chirwa, Hassani Kessy, Donald Ngoma, Said Juma Makapu na Geofrey Mwashiuya hawa wameondoka moja kwa moja Yanga na kujiunga na timu nyingine wakati wachezaji waliotolewa kwa mkopo ni;

1. Yohana Mkomola (KMC)
2. Said Bakari (Biashara)
3. Baruani Akilimali (Mbao FC)
4. Youthe Rostand (African Lyon)
5. Pato Ngonyani (African Lyon)
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
58m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’