Yanga yatambulisha wawili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jul 2018
Yanga yatambulisha wawili
Klabu ya Yanga imetambulisha usajili wa wachezaji wawili wa kigeni, mlinda lango Klaus Nkinzi Kindoki na mshambuliaji Heritier Makambo.

Wote wawili ni raia DR Congo na kila mmoja amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga.

Klaus anachukua nafasi ya Youthe Rostand ambaye taarifa zinabaisha kuwa atatolewa kwa mkopo.



Rostand bado ana mkataba wa mwaka mmoja na klabu ya Yanga.

Wachezaji hao wanakamilisha idadi ya wachezaji nane waliosajiliwa na Yanga katika dirisha hili la usajili linalofungwa leo.

Wachezaji wengine waliosajiliwa na Yanga wakati huu ni pamoja na Mrisho Ngasa, Deus Kaseke, Elisha Muroiwa, Feisal Salum, Mohammed Issa 'Banka' na Jaffar Mohammed
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’