Mlinzi wa pembeni wa Yanga Hassani Kessy yuko nchini Zambia kukamilisha usajili wake katika klabu ya Nkana FC inayoshiriki ligi kuu.
Kessy aliyemaliza mkataba wa kuitumikia Yanga atatua kwenye klabu hiyo kwa dau la Mil 75.
Yanga ilikuwa na mazungumzo na beki huyo lakini imeelezwa imemruhusu akajiunge na timu hiyo kutokana na dau kubwa waliloweka mezani.

ADVERTISE HERE