Tenga atahadharisha ongezeko la Maproo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jul 2018
Tenga atahadharisha ongezeko la Maproo
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Leodegar Tenga amesema uamuzi wa TFF kuongeza idadi ya wachezaji wa kigeni kutoka saba hadi kumi hautakuwa na faida kama hautanufaisha soka la nyumbani.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Tenga amesema ni vyema TFF ikatafakari kwa makini athari ya hatua hiyo kwa soka la ndani.

Aidha, Tenga ambaye aliwahi pia kuwa Rais wa TFF, amelishauri Shirikisho hilo lihakikishe wachezaji wa kigeni wataoingia nchini wana ubora wa juu.

Rais wa TFF Wallace Karia amesema Shirikisho hilo liko tayari kukaa mezani na wadau kujadili uamuzi huo ambao amedai ulifikiwa baada ya mapendekezo ya vilabu.

Hata hivyo sheria hiyo itaendelea kutumika kwa dirisha la usajili ambalo linafungwa leo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
39m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’