Mpaka sasa siku moja kabla ya dirisha la usajili kufungwa Yanga imekamilisha usajili wa wachezaji saba.
Wachezaji ambao tayari wamesajiliwa ni;
1. Deus Kaseke (AM)
2. Mohammed Issa Banka (AM)
3. Feisal Salum Abdallah (CM)
4. Jaffar Mohammed (CM)
5. Mrisho Ngassa (W)
6. Heritier Makambo (CF)
7. Elisha Muroiwa (CB)
Huenda siku ya kesho ikawa na michakato mingi ya kukamilisha usajili wa wachezaji ambao bado wako kwenye mazungumzo hasa ikizingatiwa TFF imesisitiza hakutakuwa na muda wa nyongeza.

ADVERTISE HERE