Waamuzi kutoka Mauritius ndiyo watachezesha mechi ya Kundi D, Kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji, Yanga SC dhidi Gor Mahia FC ya Kenya Jumapili kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Ahmad Imtehaz Heeralall ndiye atakayepuliza filimbi akisaidiwa na Cauvelet Louis Ralph Fabien na Akhtar Nawaz Rossaye washika vibendera.
Baada ya kufungwa mabao 4-0 na Gor Mahia wiki iliyopita katika mchezo wa mzunguuko wa tatu, Yanga inahitaji kushinda mchezo huo ili kulipa kisasi lakini pia kufufua matumaini ya kutinga robo fainali ya michuano hiyo.

ADVERTISE HERE