Mchezo wa Yanga vs Gor Mahia kuchezwa usiku

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jul 2018
Mchezo wa Yanga vs Gor Mahia kuchezwa usiku
Mchezo wa mzunguuko wa nne kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya Gor Mahia utapigwa Jumapili ijayo, Julai 29 2018 saa moja jioni katika dimba la Taifa.

Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo, AFisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema viingilio vya mchezo huo vimepunguzwa ili kuwapa nafasi mashabiki wengi kuipa nguvu timu yao.

Viingilio kwa upande wa VIP A ni Tsh 10,000/- wakati VIP B na C ni Tsh 7,000/- huku upande wa mzunguuko ikiwa Tsh 3,000/-

Yanga inahitaji kushinda mchezo huo ili kufufua matumaini ya kutinga raundi ya pili ambayo ni hatua ya robo fainali.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’