Singida United yamruhusu Fei Toto aitumikie Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2018
Singida United yamruhusu Fei Toto aitumikie Yanga
Rais wa klabu ya Singida United Mwigulu Nchemba amesema klabu yake imemuachia kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' aitumike Yanga msimu ujao baada ya pande mbili kufikia makubaliano.

Mwigulu ambaye pia ni mdau wa klabu ya Yanga amesema Singida United ilimsajili Fei Toto kihalali na walimlipa kiasi cha Mil 18 fedha za usajili.

Lakini wamemuachia mchezaji huyo aichezee Yanga msimu ujao.

"Tena hapa nina beki mmoja wa Kimataifa kutoka nchini Zimbabwe. Wakiridhia nitawapa mchango wa beki mmoja wa Kimataifa aliyetoka kushiriki AFCON na timu ya Taifa ya Zimbabwe," amesema Mwigulu.

"Na mimi ni ndau pia nawapa"

"Hili sio jambo la kurumbana na hata wenzetu ambao walianza kuona kama mgogoro wasichukulie kama mgogoro."

"Hili ni jambo ambalo linatakiwa lijali sana kipaji cha kijana wetu pia lijali mazungumzo ambayo tumeongea. Na hata yeye (Fei) hajakurupuka tu."
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’