Jana Kamati ya Mashindano inayoongozwa na Hussein Nyika ilifanikiwa kumaliza mgomo wa siku mbili wa wachezaji baada ya kufikia muafaka juu ya kutatua madai yao.
Wachezaji wa Yanga waligoma kufanya mazoezi tangu warejee kutoka Kenya walikokubali kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Gor Mahia kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho.
Viongozi hao jana walifanya kikao na wachezaji Makao Makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam ambapo uongozi umeahidi kumaliza madai yao kuanzia leo.
Leo Yanga inarejea rasmi mazoezini kuanza maandalizi ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia utakaopigwa Jumapili ijayo katika uwanja wa Taifa.

ADVERTISE HERE