Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga leo ataongoza jopo la viongozi wenzake kukutana na wachezaji wa Yanga waliogoma kufanya mazoezi wakishinikaza walipwe stahiki zao.
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam.
Katika Mkutano huo, Uongozi wa Yanga unatarajiwa kutangaza jina la Kaimu Katibu Mkuu wa klabu baada ya kujiuzulu kwa Charles Mkwasa.
Tangu warejee kutoka nchini Kenya Alhamisi iliyopita, wachezaji wa Yanga wamegoma kufanya mazoezi hadi hapo madai yao yatakapomalizwa.
Yanga inakabiliwa na mchezo dhidi ya Gor Mahia wiki ijayo Julai 29, lakini mpaka sasa hakuna maandalizi yoyote yanayoendelea kuelekea mchezo huo.

ADVERTISE HERE