Yanga inaivaa Gor Mahia wiki ijayo, wachezaji wamegomea mazoezi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jul 2018
Yanga inaivaa Gor Mahia wiki ijayo, wachezaji wamegomea mazoezi
Jana na juzi Yanga haikufanya mazoezi kwa kile kilichoelezwa kuna mgomo unaofanywa na wachezaji wakishinikiza walipwe madai yao.

Baadhi ya wachezaji wanashinikiza walipwe fedha za usajili huku wengine wakidai mishahara!

Ni wachezaji watatu pekee waliotokea mazoezi juzi, wote wakiwa ni wachezaji wapya Deus Kaseke, Mrisho Ngassa na Heritier Makambo.

Jana kocha Mwinyi Zahera alilazimika kusitisha program ya mazoezi mpaka pale uongozi wa Yanga utakapomaliza na wachezaji.

Jumapili ijayo, Julai 29 2018 Yanga itacheza na Gor Mahia kwenye mchezo wa nne wa kombe la Shirikisho na kwa yanayoendelea sasa, ni dhahiri mchezo huo utakuwa wa kukamilisha ratiba tu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’