Yondani kurejea mazoezini Jumatatu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jul 2018
Yondani kurejea mazoezini Jumatatu
Baada ya wadau mbalimbali wa klabu ya Yanga wakiongozwa na Abbas Tarimba kufanikiwa kumbakisha beki Kelvin Yondani kikosini, mkongwe huyo anatarajiwa kuanza rasmi mazoezi keshokutwa Jumatatu.

Aidha wadau hao pia wako mbioni kumalizana na Hassan Kessy ambaye pia amegoma kujiunga na kikosi cha Yanga kabla hajasaini mkataba mpya.

Yondani na Kessy hawakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kilicholazwa mabao 4-1 na Gor Mahia nchini Kenya juzi.

Yanga ina siku nane za kujiandaa kabla ya kurudiana na Gor Mahia kwenye mchezo utakaopigwa uwanja wa Taifa wiki ijayo, Julai 29 2018.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’