Yanga haina ubora - Ambani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jul 2018
Yanga haina ubora - Ambani
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Mkenya Boniface Ambani amesikitishwa na kiwango kilichoonyeshwa na Yanga kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia na kubugizwa mabao 4-0.

Ambani amesema Yanga aliyoiona ikicheza na Gor Mahia juzi sio Yanga anayoifahamu.

"Hii sio Yanga ninayoifahamu mimi, kwani hiyo isingeweza kufungwa mabao 4-0 na Gor Mahia," ambani ameiambia EFM.

"Sikuona ubora wowote wa wachezaji wa Yanga, labda wachezaji wawili tu ndio waliokuwa na afadhali."

"Yafaa viongozi wa Yanga wafanye usajili makini ili kuweza kuirejesha timu yao kwenye hali ya ushindani."

Ambani pia amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli kutupia jicho kinachoendelea Yanga kwani hali hiyo inasikitisha.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’