Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2018/19 inatarajiwa kuanza Agosti 22, 2018 ikitanguliwa na mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa jijini Mwanza Agosti 18.
Yanga itacheza mchezo wake wa kwanza kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro dhidi ya Mtibwa Sugar, Agosti 23 2018.
Mchezo wa kwanza wa watani wa jadi utapigwa Septemba 30, Simba ikitarajiwa kuwa mwenyeji wa mchezo huo.
Mkurugenzi wa Bodi ya ligi Boniface Wambura, amesema ligi hiyo itahusisha jumla ya mechi 380 kutoka 240 za msimu uliopita kutokana na onegezeko la timu.
Kila timu itacheza michezo 38.
Ratiba kamili itawekwa kwenye ukurasa wetu wa ratiba.

ADVERTISE HERE