Kikosi cha Yanga kama jioni kilipata nafasi ya kuifua kwenye uwanja wa Moi Kasarani jijini Nairobi kabla ya mchezo wake wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia leo.
Kocha Mwinyi Zahera aliwaongoza vijana wake wakipata nafasi ya kuuzoea uwanja wa Kasarani utakaotumika katika mchezo huo unaotarajiwa kupigwa saa moja jioni.

ADVERTISE HERE