Sanga, Tarimba wakutana kumaliza tofauti zao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jul 2018
Sanga, Tarimba wakutana kumaliza tofauti zao
Mapema leo Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga alikutana na aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Mpito Abbas Tarimba katika jitihada za kumaliza tofauti iliyojitokeza hivi karibuni.

Tarimba alijiuzulu Uwenyekiti wa Kamati Maalum baada ya kudai hakuwa akipewa ushiriano wa kutosha na uongozi wa Yanga chini ya Clemet Sanga.

Kukutana kwa Tarimba na Sanga ni habari njema kwa wapenzi na wanachama wa Yanga.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’