Yanga imeshindwa kuwasajili Henry Okoh kutoka Nigeria na Fernando Bongnyang kutoka Cameroon baada ya viwango vya wachezaji hao kushindwa kulishawishi benchi zima la ufundi.
Kulingana na taarifa tuliyopewa na mmoja wa wajumbe wa kamati ya usajili, wachezaji hao wameonekana wa kawaida, viwango vyao havitofautiani na wachezaji ambao tayari wapo kikosini.
Okoh alifanya vizuri sana wakati timu iko kambini mkoani Morogoro lakini alishindwa kutamba alipopewa nafasi katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida United juzi Jumamosi, afadhali ya Bongnyang.
Hivyo Yanga bado ina nafasi ya mchezaji mmoja wa Kimataifa.

ADVERTISE HERE