Bado kuna ukakasi juu ya swala la kibari cha kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera na huenda kocha huyo kesho akakishuhudia kikosi chake kikipepetana na Gor Mahia akiwa jukwaani.
Zahera yuko nchini kwa zaidi ya miezi miwili lakini inashangaza kuona bado swala la kibari chake halijakamilika.
Kocha wa viungo Noel Mwandila anatarajiwa kukiongoza kikosi cha Yanga katika mchezo huo.
Wakati huo huo beki Juma Abdul ndiye atakayekuwa nahodha wa kikosi cha Yanga kesho.
Kuelekea mchezo huo, kocha Mwinyi Zahera amesema wamejiandaa kikamilifu kuhakikisha wanaibuka na ushindi kwenye mchezo huo utakaopigwa saa moja jioni.

ADVERTISE HERE