Tambwe abeba matumaini ya Yanga Kenya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jul 2018
Tambwe abeba matumaini ya Yanga Kenya
Yanga imekwenda kuivaa Gor Mahia katika mchezo wa kombe la Shirikisho ikiwa na washambuliaji watatu pekee ambao ni Amissi Tambwe, Yohana Mkomola na Ibrahim Ajib.

Kuchelewa kukamilika kwa usajili wa Deus Kaseke, Mrisho Ngassa na Heritier Makambo kumepelekea Yanga kulazimika kutumia kikosi chake cha msimu uliopita.

Hata hivyo wachezaji hao watakuwepo kwenye mchezo utakaopigwa jijini Dar es salaam Julai 29.

Katika mchezo huo wa keshokutwa, safu ya ushambuliaji ya Yanga itamtegemea zaidi Amissi Tambwe ambaye amerejea kikamilifu baada ya kupona majeraha yake.

Katika mazoezi ya Yanga yaliyokuwa yakifanyika kwenye uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam, Tambwe alionekana kurejesha makali yake jambo lililomvutia kocha Mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera.

Zahera amejinasibu kupendelea zaidi mfumo wa kushambulia pamoja na kujilinda pamoja 'Toto Football' huku akitumia mshambuliaji mmoja mbele.

Yanga itakayoivaa Gor Mahia inaweza kuwa hivi;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’