Kikosi cha Yanga kitaondoka leo kuelekea nchini Kenya kwa ajili ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia.
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumatano, kwenye dimba la Moi Kasarani jijini Nairobi, ukitarajiwa kuanza saa moja jioni.
Yanga itasafiri bila ya walinzi wake Kelvin Yondani na Hassani Kessy ambao hawakuwa sehemu ya kikosi hicho kilichokuwa kinajifua kwenye uwanja wa chuo cha Polisi Kurasani jijini Dar es salaam.
Pia kuna taarifa kuwa wachezaji wapya Mrisho Ngassa, Deus Kaseke na Haririer Makambo huenda wasiwe sehemu ya kikosi kitakachoikabili Gor Mahia sababu ikielezwa kuchelewa kuwasilishwa kwa majina yao CAF.

ADVERTISE HERE