Yanayojiri Urusi : Ubelgiji yaichapa Uingereza 2-0

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jul 2018
Yanayojiri Urusi : Ubelgiji yaichapa Uingereza 2-0
Mabao ya Thomas Munier na Eden Hazard yameiwezesha Ubelgiji kumaliza katika nafasi ya tatu kwenye michuano ya kombe la dunia baada ya kuilaza Uingereza kwa mabao 2-0.

Uingereza imemaliza vibaya michuano hiyo, imeshindwa kuondoka na medali.

Licha ya kutawala mchezo kwa muda mwingi, Uingereza ilikosa mbinu za kuipenya ngome ya Ubelgiji huku washindi hao wakiwa hatari kupitia mashambulizi ya kushitukiza.

Mchezo wa fainali kati ya Ufaransa dhidi ya Croatia utapigwa kesho Jumapili, Julai 15 2018.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’