Yanga kuunganisha moja kwa moja Nairobi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jul 2018
Yanga kuunganisha moja kwa moja Nairobi
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka Jumatatu, Julai 16 kuelekea Nairobi Kenya kwa ajili ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia utakaopigwa siku ya Jumatano, Julai 18, 2018.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa moja jioni katika dimba la Moi.

Kulikuwa na taarifa kwamba Yanga ingeweka kambi ya siku chache mkoani Arusha kabla ya kwenda Kenya lakini mpango huo hautakuwepo.

Yanga imekuwa ikijifua kwenye uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo huo.

Wenyeji wao Gor Mahia bado wako nchini ambapo leo wamecheza na JKU kusaka mshindi wa tatu wa michuano ya kombe la Kagame na wameibuka na ushindi wa mabao 2-0.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’