Yanga imeanza umwamba wake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jul 2018
Yanga imeanza umwamba wake
Yanga inajadiliana na Singida United ili iweze kurejesha fedha walizompa kiungo fundi Faisal Salum Abdallah 'Fei Toto'.

Toto aliyekuwa akiwaniwa kwa karibu na Simba, ametambulishwa mapema leo na uongozi wa Singida United kuwa wamefanikisha usajili wake.



Hata hivyo inadaiwa picha hizo zilizotolewa na Singida United zilipigwa mwezi uliopita na hawakuzitoa wakati huo baada ya JKU kuwawekea ngumu walipobaini wamemsajili mchezaji huyo kinyemela.

Habari za uhakika ni kwamba Fei Toto yuko kwenye mikono salama ya klabu ya Yanga na amesaini mkataba wa miaka mitatu baada ya Yanga kumalizana na JKU.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’