Awali ilitaarifiwa kuwa mshambuliaji wa zamani wa Yanga Obrey Chirwa amesajiliwa na Ismailia, lakini imebainika Chirwa alishindwana na timu hiyo na ametua klabu ya Nogoom El Mostakbal inayoshiriki ligi daraja la pili nchini Misri.
Klabu hiyo imemtambulisha rasmi jana.
Chirwa ameitumikia Yanga kwa misimu miwili akifunga jumla ya mabao 31 katika michuano yote.
Kila la kheri katika klabu yake mpya ya daraja la pili!
Klabu hiyo imemtambulisha rasmi jana.
Chirwa ameitumikia Yanga kwa misimu miwili akifunga jumla ya mabao 31 katika michuano yote.
Kila la kheri katika klabu yake mpya ya daraja la pili!
ADVERTISE HERE