Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina ametoa ujumbe maridhawa kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Facebook.
Lwandamina ni mtumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii ingawa hufanya hivyo mara chache.
Kushinda ni Burudani. Lakini swala sio kushinda tu bali kuwa na nia ya kushinda. Kutokata tamaa ni muhimu, kutoridhika na mafanikio uliyopata ndiyo jambo la msingi zaidi.

ADVERTISE HERE