Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Mohammed Issa Banka kutoka Mtibwa Sugar ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili.
Banka anakuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa 'hadharani' na uongozi wa Yanga ambao awali ulieleza kufanya usajili kimyakimya

Banka ni miongoni mwa wachezaji walion'gara kwenye kikosi cha Mtibwa Sugar msimu uliopita.

Ujio wake katika kikosi cha Yanga utaimarisha sehemu ya kiungo ambapo sasa ataungana na viungo wengine kama Maka Edward, Pato Ngonyani, Papi Tshishimbi na Thabani Kamusoko

ADVERTISE HERE