Yanga yaendelea kujifua Kurasini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jul 2018
Yanga yaendelea kujifua Kurasini
Kikosi cha Yanga kimeendelea kujifua katika uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kujindaa na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia.

Mchezo huo utapigwa Jumatano ijayo, Julai 18 2018 jijini Nairobi.

Menaja wa Yanga Hafidh Saleh amesema wameendelea na mazoezi kukiandaa kikosi chao kwa ajili ya mchezo huo.

Yanga inatarajiwa kwenda mkoani Arusha kuweka kambi ya siku chache kabla ya kuelekea nchini Kenya kuwakabili Gor mahia, mabingwa hao wa KPL ambao bado wako nchini wakishiriki michuano ya kombe la Kagame.

Kesho Gor Mahia itacheza na Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali ya michuano hiyo inayoendelea jijini Dar es salaam.

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema ana imani kubwa na maandalizi wanayofanya na wanakwenda nchini Kenya kuchukua alama zote tatu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’