Pichani juu, aliyekuwa Afisa Habari wa Yanga Jerry Murro akimkabidhi jezi Deus Kaseke baada ya kusajiliwa kutoka Mbeya City mwaka 2015
Kiungo mshambuliaji Deus Kaseke aliyerejea Yanga akitokea klabu ya Singida United amekabidhiwa jezi namba nne.
Kaseke aliitumia jezi hiyo misimu mitatu iliyopita wakati alipojiunga na Yanga akitokea Mbeya City, ataendelea kuvaa uzi wenye namba hiyo.
Kaseke ni miongoni mwa wachezaji watatu ambao uongozi wa Yanga umethibitisha kukamilisha usajili wao.
Wengine ni Mrisho Ngassa na Mcongomani Heritier Makambo ambapo wote watatu wamejumuishwa kwenye kikosi cha Yanga kinachoshiriki michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika.

ADVERTISE HERE