Kaseke amesaini miaka miwili Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jul 2018
Kaseke amesaini miaka miwili Yanga
Jina la kiungo mshambuliaji Deus Kaseke aliyeitumikia Singida United msimu uliopita ni miongoni mwa majina yaliyotumwa na Yanga CAF kwa ajili ya kikosi chake kinachoshiriki michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Yanga imefanikiwa kumsajili Kaseke baada ya kuvunja mkataba wake wa mwaka mmoja uliokuwa umebaki katika klabu ya Singida United.

Mchezaji huyo anadaiwa kusaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga.

Usajili wa Kaseke utakuwa na faida kubwa kwa Yanga kwani msimu uliomalizika alikuwa miongoni mwa mawinga walioonyesha kiwango cha hali ya juu kwenye ligi.

Ujio wa Kaseke na Ngassa kwenye kikosi cha Yanga utarejesha utamaduni wa Yanga wa kutumia 'mbawa' katika kushambulia.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’