Aliyewahi kuwa kocha wa timu ya Taifa ya vijana ya DR Congo U17, Guy Bukasa ndiye atakayemsaidia Mwinyi Zahera kama kocha msaidizi wa Yanga imefahamika.
Kocha huyo tayari amewasali nchini na kuanza majukumu ya kuinoa Yanga inayojiandaa na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia utakaopigwa Julai 19 nchini Kenya.
Imeelezwa ujio wa kocha huyo ni kutokana na mapendekezo ya Zahera mwenyewe.
Yanga imeendelea kujifua kwenye uwanja wa Chuo cha Polisi, Kurasini jijini Dar es salaam.

ADVERTISE HERE