Mlinda lango wa Yanga Ramadhani Kabwili amekuja na mpango wa kuwainua wachezaji wenye vipaji kwa kuanzisha mashindano mtaani alikokulia yatakayotambulika kama Kabwili Cup.
Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza Julai 12, 2018 ambapo yatafanyika kwenye uwanja wa Tabata (Twiga).

Kabwili ameandaa zawadi mbalimbali kwa washindi zikiwemo medali na vikombe.

ADVERTISE HERE