Kocha wa zamani wa KMC Fred Felix Minziro amejiunga na klabu ya Arusha United itakayoshiriki ligi daraja la kwanza msimu ujao.
Minziro amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo.
Minziro amekuwa akizipandisha daraja baadhi ya timu lakini zimekuwa zikimtema zinapofika ligi kuu.
Singida United na KMC ni timu ambazo zilipandishwa daraja na kocha huyo aliyewahi kuitumikia Yanga kwa mafanikio makubwa.
Alikuwa miongoni mwa makocha waliopigiwa chapuo kuwa kocha msaidizi wa Yanga.

ADVERTISE HERE