Leo tunamtakia kheri ya siku ya kuzaliwa kiraka Pato Ngonyani aliyezaliwa tarehe kama ya leo miaka 23 iliyopita.
Pato amekuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kwa misimu mitatu sasa.
Uwezo wake wa kucheza namba zaidi ya moja umekuwa ukiinufaisha Yanga hasa kwenye nafasi za ulinzi na kiungo.
HAPPY BIRTHDAY PATO

ADVERTISE HERE