Mchujo wa 'maproo' unaendelea Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jul 2018
Mchujo wa 'maproo' unaendelea Yanga
Yanga leo imetimiza siku saba tangu ianze mazoezi kujiandaa na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia utakaopigwa nchini Kenya Julai 18, 2018.

Katika mazoezi hayo pia kocha Mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera amekuwa akiwafanyia majaribio baadhi ya wachezaji wanaotaka kusajiliwa.

Meneja wa Yanga Hafidh Saleh amesema zoezi la kuwajaribu wachezaji limefanyika kwa umakini mkubwa ambapo mpaka sasa wapo wachezaji waliofuzu majaribio hayo huku wasiokuwa na vigezo wakichujwa kadiri wanavyoona inafaa.

Saleh amesema Yanga ilianza majaribio na karibu wachezaji 20 wa kigeni lakini sasa waliobaki ni wachezaji sita pekee.

Amesema huenda zoezi hilo likakamilika mwishoni mwa wiki hii.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’