Lwandamina kusaini mkataba mpya Yanga

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
5 Aug 2017
Lwandamina kusaini mkataba mpya Yanga
Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina anatarajiwa kusaini mkataba wa kuendelea kuitumikia Yanga leo baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida United.

Jana akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa alisema mazungumzo juu ya mkataba mpya yalishakamilika lakini hakuwa amesaini kutokana na majukumu ya kuinoa Yanga mkoani Morogoro.

Katika miezi sita yake ya kwanza Yanga, Lwandamina amefanikisha kutwaa ubingwa wa VPL kwa msimu wa tatu mfululizo huku sehemu ya ubingwa huo ikiwa imechangiwa na Hans van Pluijm aliyekuwa kocha Mkuu wa Yanga kabla yake.

Lwandamina alijiunga na Yanga akitokea klabu ya ZESCO ya Zambia aliyoiongoza kutwaa ubingwa wa Zambia kwa misimu miwili mfululizo pia kuifikisha nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
58m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’