Mashabiki wakauka michuano ya kombe la Kagame

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jul 2018
Mashabiki wakauka michuano ya kombe la Kagame
Idadi ndogo ya mashabiki wameendelea kujitokeza kushuhudia michuano ya kombe la Kagame iliyoanza juzi jijini Dar es salaam.

Michezo ya kombe la dunia inayoendelea huko Urusi imechangia kwa kiasi kikubwa kwa mashabiki 'kuipotezea' michuano hiyo ambayo wadau walitahadharisha mapema kuwa imepangwa wakati mbaya.

Lakini pia kujiondoa kwa Yanga kunatajwa kuwa sababu nyingine ya michuano hiyo kukosa msisimko.

Yanga ilijiondoa kwenye michuano hiyo ili kujikita na maandalizi ya mchezo wake wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia utakaopigwa nchini Kenya, Julai 18.

Vilabu vya Gor Mahia na Rayon Sports ambavyo pia vinashiriki kombe la Shirikisho, vinadaiwa kuleta vikosi vyao vya pili kushiriki michuano hiyo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’