Kamati ya Tarimba inavyowalaza na viatu..

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jun 2018
Kamati ya Tarimba inavyowalaza na viatu..
Wakati akikabidhiwa jukumu la kuongoza Kamati Maalumu ya Mpito, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Abbas Tarimba aliahidi kuifanya kazi hiyo kikamilifu.

Licha ya changamoto za hapa na pale ambazo Kamati hiyo inaelezwa kukutana nazo, wameendelea kufanya kazi kwa weledi mkubwa kwa kushirikiana na Kamati nyingine.

Inaelezwa aina ya utendaji kazi wa Kamati ya Tarimba umewaweka kwenye wakati mgumu wale wazee ya 'ten percent'

Ule utaratibu wa baadhi yao kuleta wachezaji halafu wao kupanga dau la usajili ili mchakato ukikamilika wapate 'cha juu' unaonekana kukwama.

Ndio sababu inayotajwa wengine kuamua kuwarejesha makwao wachezaji waliowaleta!
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’