Yanga bado haijatangaza usajili wake na inaelezwa zoezi la kusajili bado linaendelea 'kimyakimya' kama wanavyosema viongozi wa timu hiyo.
Licha ya kuwa Yanga haishiriki michuano ya kombe la Kagame iliyoanza leo jijini Dar es salaam, viongozi wake wanaweza kuitumia michuano hiyo kubaini wachezaji wazuri inaoweza kuwasajili.
Michuano hiyo inahusisha vilabu 12 ambapo kila timu itacheza michezo mitatu kwenye hatua ya makundi.

ADVERTISE HERE