Yanga yaanza mazoezi leo, Ten athibitisha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jun 2018
Yanga yaanza mazoezi leo, Ten athibitisha
Kikosi cha Yanga leo kimeanza kujifua kwa ajili ya Maandalizi ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi Gor Mahia utakaopigwa nchini Kenya Julai 18 2018.

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema mazoezi hayo yanafanyika kwenye uwanja wa chuo cha Polisi, Kurasini jijini Dar es salaam.

Jumla ya wachezaji 22 wamehudhuria mazoezi hayo, wachezaji 8 wakiwa walioitumikia Yanga msimu uliopita na wachezaji 14 wakiwa ni wapya.



Kocha Mwinyi Zahera amesimamia kikamilifu mazoezi hayo ambayo yatatumika kuidhinisha usajili wa baadhi ya wachezaji.

Ten amesema wachezaji wengine wanatarajiwa kuanza mazoezi siku ya kesho.

Washambuliaji Marcelin Koukpo na Heritier Makambo ni miongoni mwa wachezaji waliohudhuria mazoezi hayo.

Makambo ndiye aliyewasili juzi na kocha Mwinyi Zahera akitokea klabu ya FC Lupopo ya Congo
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’