Kumekuwa na taarifa kuwa beki wa Kagera Sugar Juma Nyosso ni miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa na Yanga kwa ajili ya msimu ujao.
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema bado hajapokea taarifa rasmi ya usajili wa mchezaji huyo kutoka kwa kamati ya usajil.
Ten amewataka wanachama na mashabiki wa Yanga kupuuza taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu usajili wa timu hiyo, wasubiri taarifa rasmi itakayotolewa na uongozi.
"Ni vyema wanachama na mashabiki wetu wakawa na utulivu, wasubiri taarifa rasmi kutoka kwa uongozi wa Yanga," amesema.
Kumekuwa na presha kubwa kutoka kwa WanaYanga wanaotaka kufahamu mchakato wa usajili wa timu yao.

ADVERTISE HERE