Yanga kuifuata Polisi Tanzania leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1d ago
Yanga kuifuata Polisi Tanzania leo

Kikosi cha Yanga leo Alhamisi kinaelekea mkoani Kilimanjaro tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania.

Mtanange huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini, utapigwa kesho Ijumaa Novemba 20 kwenye uwanja wa Ushirika.

Wananchi wanaelekea Moshi wakiwa na kikosi kamili baada ya wachezaji waliokuwa kwenye majukumu ya timu za Taifa kurejea.

Yanga iliweka kabmbi ya takribani siku 10 visiwani Zanzibar katika kipindi chote cha mapumziko ya kalenda ya FIFA.

Yanga SC Stories

Goals : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL (FT)
Goals : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
FT : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL
FT : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : JKT Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
Kikosi : JKT Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
14h ago
READ MORE β†’
Mudathir amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Mudathir amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Dladla awaaga Wananchi
Dladla awaaga Wananchi
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Polisi Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
Matchday; Polisi Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 20 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 20 2026
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yawasili Moshi tayari kuikabili Polisi Tanzania
Yanga yawasili Moshi tayari kuikabili Polisi Tanzania
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yakamilisha maandalizi tayari kuifuata Polisi Tanzania
Yanga yakamilisha maandalizi tayari kuifuata Polisi Tanzania
1d ago
READ MORE β†’
Dikgacoi atamba Yanga ipo tayari kuivaa Polisi Tanzania
Dikgacoi atamba Yanga ipo tayari kuivaa Polisi Tanzania
1d ago
READ MORE β†’