Wawa aibukia Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jun 2018
Wawa aibukia Simba
Serge Wawa raia wa Ivory Coast mmoja wa walinzi waliokuwa wakihusishwa na kutua Yanga, jana jioni ameonekana kwenye mazoezi ya Simba uwanja wa Shite Sand jijini Dar es Salaam.

Beki huyo wa zamani wa Azam FC na baadae El Marreikh ni mchezaji huru baada ya mkataba wake wa kuitumikia timu hiyo ya Sudan kumalizika.

Hivi karibuni alikiri kufanya mazungumzo na kufikia makubaliano na viongozi wa Yanga, alikuwa akisubiri kuitwa kusaini mkataba.

Juzi kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera alisema tayari timu hiyo imekamilisha idadi ya wachezaji wa Kimataifa inayowasajili hivyo huenda iliachana na mpango wa kumsajili beki huyo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22m ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
18h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’