Kazini kwa Kibwana bado kuna kazi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16h ago
Kazini kwa Kibwana bado kuna kazi

Mlinzi wa kulia wa Yanga kinda Ibrahim Kazimoto ameendelea kudhihirisha haikuwa bahati mbaya kwa aliyekuwa kocha wa Yanga Manqoba Mngqithi kumpandisha kwenye kikosi cha kwanza kutoka timu ya Yanga u20.

Kazimoto ambaye wakati yuko U20 alikuwa akitumika kama mlinzi wa kati, ameendelea kuitendea haki nafasi hiyo mpya sasa akionekana kuwa mshindani katika eneo hilo.

Beki huyo ametumika katika mechi tatu zilizopita akicheza dakika zote 90 kwenye kila mchezo akichukua nafasi ya Yao Kouassi ambaye alipata majeraha.

Unaweza kusema kukosekana kwa Yao halijawa pigo kwa Wananchi kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Kazimoto.

Aidha Kazimoto ameongeza ushindani kwenye nafasi hiyo akiwapa maswali magumu kina Kibwana Shomari, Yao na hata Israel Mwenda ambaye amerejeshwa kikosini hivi karibuni.

Ule msemo maarufu wa Kibwana 'kazini kwake kuna kazi' ni wazi bado uko sahihi kutokana na ushindani anaokabiliana nao kwenye nafasi yake.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Adnan Behlulovic humwambii kitu kwa Yanga
Adnan Behlulovic humwambii kitu kwa Yanga
17m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Novemba 04 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Novemba 04 2026
3h ago
READ MORE β†’
Shalulile atabiriwa makubwa msimu huu
Shalulile atabiriwa makubwa msimu huu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga kurudi New Amaan Complex makundi CAFCL?
Yanga kurudi New Amaan Complex makundi CAFCL?
1d ago
READ MORE β†’
Nyota tisa wa Yanga kwenye majukumu ya timu za Taifa
Nyota tisa wa Yanga kwenye majukumu ya timu za Taifa
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Novemba 03 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Novemba 03 2026
1d ago
READ MORE β†’
Pacome aongeza matumaini ya kurejea mapema
Pacome aongeza matumaini ya kurejea mapema
1d ago
READ MORE β†’
Kwa Toure hapa Yanga imepata mshambuliaji
Kwa Toure hapa Yanga imepata mshambuliaji
1d ago
READ MORE β†’
Kangwanda ana kazi ya kufanya Yanga
Kangwanda ana kazi ya kufanya Yanga
2d ago
READ MORE β†’
Kocha tayari amewasili tutamtambulisha wakati wowote - Kamwe
Kocha tayari amewasili tutamtambulisha wakati wowote - Kamwe
2d ago
READ MORE β†’