Hafla ya tuzo za ligi kuu msimu wa 2017/18 imefanyika leo Juni 23 2018 Mlimani City ambayo Yanga imekuwa miongoni mwa timu zilizopata tuzo.
Kwa kuibuka mshindi wa tatu Yanga imepokea hundi ya Mil 34, ambapo Meneja wa timu hiyo Hafidh Saleh amepokea hundi hiyo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo iliandaliwa na Wadhamini wa ligi Kuu kampuni ya Vodacom kwa kushirikiana na TFF.

ADVERTISE HERE