Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki ametunukiwa tuzo ya Sports Excellence & Youth Talent Development Honorary Award katika Entertainment Arts Excellence Awards (EAEA) 2026.
Aziz Ki kupitia kupitia Aziz Ki Foundation na Aziz Ki Academy, ameendelea kuwa sehemu muhimu ya kukuza vipaji vya vijana na kuendeleza sekta ya michezo hapa Tanzania.

Hongera Aziz Ki..!
ADVERTISE HERE