Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15h ago
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu

Licha ya kupangwa katika kundi gumu (B) msimu uliopita lililojumuisha Al Ahly, AS FAR na JS Kabylie zote kutoka Mataifa ya Kiarabu, msimu huu tena Yanga inakwenda kukutana na mazingira kama yaleyale kundi B.

Wakati huu Wananchi watasafiri tena Misri lakini kuikabili Zamalek, watakwenda Algeria kuikabili MC Alger na watakwenda Tunisia kuikabili Club Africain.

Msimu uliopita Yanga ilimaliza hatua ya makundi nafasi ya tatu ikukusanya alama 8, ni wazi msimu huu mkakati unapaswa kuwekwa mapema ili kuhakikisha zinapatikana angalau alama 9+ ambazo zinaweza kutosha kuivusha Yanga robo fainali.

Silaha muhimu kwa Yanga ni matumizi ya uwanja wa nyumbani. Alama zote 9 nyumbani lazima zipatikane na kisha ugenini kusaka angalau alama moja.

Club Africain na MC Alger sio ngeni kwa Yanga kwani wamekutana nazo kwenye misimu ya karibuni wakati Zamalek wakiwa ndo wapya.

Kundi B linaonekana kama ndio kundi la kifo lakini hapa Wananchi wanaweza kuwashangaza wengi kwa kufuzu robo fainali.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
37m ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’