Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2h ago
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio

Baada ya kuachana na kocha Manqoba Mngqithi, Yanga kesho inashuka dimba la KMC Complex kuikabili Mashujaa Fc katika mwendelezo wa ligi kuu ya NBC.

Ni wazi Wananchi watashuka kwenye mchezo huo wakiwa na dhamira moja tu, kusaka ushindi ili kurejesha morali ya timu katika mapambano ya kutetea taji la ligi kuu.

Kocha Simo Dladla anatarajiwa kukiongoza kikosi kwenye mchezo huo utakaopigwa saa 12:30 jioni.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
3h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
23h ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumapili, Oct 25 2026
Magazeti ya leo Jumapili, Oct 25 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yametimia, Manqoba afutwa kazi Yanga
Yametimia, Manqoba afutwa kazi Yanga
1d ago
READ MORE β†’
Manqoba mambo magumu Yanga
Manqoba mambo magumu Yanga
1d ago
READ MORE β†’