Klabu ya Yanga imemfuta kazi Kocha Mkuu Manqoba Mngqithi muda mfupi baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya TRA United.
Taarifa iliyotolewa na Yanga usiku huu pia imethibitisha kusitishwa mkataba wa kocha wa viungo Chyna Mokaila.

ADVERTISE HERE