Kikosi cha Yanga kimehitimisha maandalizi yake kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya TRA United.
Kesho Jumamosi, Wananchi watashuka uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuwania alama tatu muhimu dhidi ya watoza ushuru hao.

ADVERTISE HERE