CFFA tayari wameshawasili Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1h ago
CFFA tayari wameshawasili Dar

Timu ya CFFA ya Madagascar tayari imewasili nchini kuelekea mechi mbili za ligi ya mabingwa dhidi ya Yanga kuwania tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika (CAFCL)

Mchezo wa mkondo wa kwanza ambao watakuwa wenyeji utapigwa Jumamosi Oktoba 17 uwanja wa Azam Complex saa 9 Alasiri na mchezo wa marudiano kupigwa siku nne baadae katika uwanja huohuo.

Wakati wageni wao wakiwasili mapema, Yanga iliingia kambini juzi kujiandaa na mchezo huo ambao Wananchi wamepania kushinda ili kujiwekea mazingira mazuri ya kutinga hatua ya makundi kwenye mchezo wa marudiano.

Baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Simba, Wananchi hawana tena nafasi ya kufanya makosa kwenye mchezo unaofuata lengo kuu likiwa kufuzu hatua ya makundi.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Job ni suala la muda kikosini Yanga
Job ni suala la muda kikosini Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Vingilio; CFFA vs Yanga, CAFCL R1
Vingilio; CFFA vs Yanga, CAFCL R1
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 14 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 14 2026
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yaweka nguvu kufuzu hatua ya makundi CAFCL
Yanga yaweka nguvu kufuzu hatua ya makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mwenda arejeshwa rasmi kikosini Yanga
Mwenda arejeshwa rasmi kikosini Yanga
1d ago
READ MORE β†’
Abuya nje wiki mbili
Abuya nje wiki mbili
1d ago
READ MORE β†’
Malengo yetu mbio za ubingwa Ligi Kuu yako palepale - Kamwe
Malengo yetu mbio za ubingwa Ligi Kuu yako palepale - Kamwe
1d ago
READ MORE β†’
Manqoba apewa mtihani Ligi ya Mabingwa
Manqoba apewa mtihani Ligi ya Mabingwa
1d ago
READ MORE β†’
Yao awaangukia mashabiki Yanga 'Tutakuwa bora zaidi'
Yao awaangukia mashabiki Yanga 'Tutakuwa bora zaidi'
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 13 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 13 2026
1d ago
READ MORE β†’